Aslay atoa sababu ya kuikimbia nyumba ya Mkubwa na Wanawe

Aslay amefunguka sababu iliyomfanya aondoke kwenye nyumba ya kituo cha Mkubwa na Wanawe,ambapo alipokuwa anaishi Waimbaji wenzake.

Hitmaker huyo wa ‘Angekuona’, amekiambia kipindi cha ‘On The Eight’ cha TVE kuwa hakuna matatizo yoyote yaliyomsababisha kuondoka katika kituo hicho bali aliamua kuifuata familia yake ili aweze kuishi nayo kwa ukaribu, tofauti na watu wengi wanavyofikiria.
Muimbaji huyo ameongeza kuwa zamani alijisahau zaidi katika muziki, lakini kwa sasa amepanga kujibrand yeye mwenyewe na kuachia nyimbo zake mwenyewe ambazo zitamtambulisha zaidi.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment