Hili ni gari la kifahari analomiliki Diamond SA?

Baada ya kumiliki mjengo mkali Afrika Kusini wenye thamani ya zaidi milioni 400, Diamond amewashtua mashabiki wake kwa ile inayowezekana kuwa ni ndinga yake nyingine anayoimiliki nchini humo alipoijenga Madale yake.

Muimbaji huyo ameweka picha za gari hilo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika ujumbe ambao unaonyesha gari hilo ni mali yake.
Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika, “Jus decided to get this for my south africa’s up and downs trip…..๐Ÿ‘ #SideChick.

๐Ÿก ๐Ÿš— @zarithebosslady kidogo changu mimi nawe, kikubwa cha Barabuu… Mali zao zisifanye upagawe ukaniweka Roho juu…. so proud to have you mama, tukutane kwenye kuliwakilisha Taifa kwenye Mashuka leo๐Ÿ˜Š @zarithebosslady ๐Ÿ’ž,” ameandika kwenye picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao huo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment