Hussein Machozi aeleza jinsi mademu wa Italy walivyomsumbua

Msanii wa muziki, Hessein Machozi baada ya kurejea nchini akitokea Italy amefunga kuzungumzia usumbufu aliyoupata kutoka kwa mademu wa kizungu.


Hussein Machozi akiwa Italy na mtu wake wa karibu
Akiongea na Bongo5 wiki hii baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Hussein alikiri kusumbuliwa na watoto wa kike wa Italy kutokana na mwili wake pamoja na rangi yake.
“Usumbufu ulikuwa mkubwa sana,” alisema Hussein “Si unajua dhahabu ikishakuwa kwenye mchanga inaonekanaga yenyewe. Sema si kwenda kwaajili yao na sinaga filling na watu wale na kiukweli nilikuwa nawachukulia kawaida tu kwa sababu najua kitu kilichonipeleka ni masomo,”
Muimbaji huyo amerudi nchini kwaajili ya kuachia wimbo wake mpya na baada ya hapo atarudi nchini Italy kuendelea na masomo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment