Huyu Ndo Mtoto wa Janet Jackson Eissa Al Mana

Janet amekua  hayupo kwenye headlines sana  tangu mwaka jana ambapo alitangaza anatarajia mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50
na baada ya miaka 5 na miezi miwili akatangaza kuachana na mume wake ambaye wana share mtoto wa miezi Mitatu Eissa Almana
Alipost kwenye ukurasa wake wa instagram akiweka caption
"My baby and me after nap time,"
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment