Msanii wa WCB Rayavanny Apata Mtoto

Rayvanny amepata mtoto na mchumba ake Fahyama na taarifa hizi Meneja wa Diamond alizitoa kwa kupost picha ya Ray na kumpa hongera ya kupata mtoto 

Hongera mwanangu @rayvanny kwa kupata mtoto (My Favorite Artist WCB) najua unatamani kuwepo kumuona mwanao ila fanya kazi Kijana wangu!!

RayVanny nae alimpost mpenzi wake Fahyma akampongeza pia 

Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ NAKUPENDA!!


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment