Rais Magufuli ateua kamati ya pili itakayofanya uchunguzi wa madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameteua wajumbe wa kamati maalum ya pili itakayofanya uchunguzi wa madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyopo katika maeneo mbalimbali hapa nchini.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment