Rais Magufuli leo kufanya uzinduzi wa ujenzi wa reli ya umeme ‘Dar mpaka Moro’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli leo ataweka jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa ujenzi reli ya umeme na ya kisasa, Standard Gauge itokayo Dar es Salaam hadi Morogoro.


Treni hiyo itakuwa na spidi ya kilomita 160 kwa saa. Uzinduzi huo unafanyika kwenye stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment