Rais Mugabe katika muonekano mpya

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kwa mara ya kwanza amepigwa picha akiwa katika muonekano mpya wa kunyoa nywele zake wakati alipohudhuria mazishi ya mwanajeshi wa zamani.

Mtindo mpya wa Rais Mugabe akiwa amenyoa nywele
Wengi wanaamini ni mara ya kwanza Mugabe kunyoa nywele zake na hata sharubu.

Muonekano ambao wengi walikuwa wamezoea kumuona Rais Mugabe
Picha zilizochapishwa katika mitandao ya kijamii zimevutia maoni kutoka kwa raia wa Zimbabwe. Baadhi wamesema kuwa mtindo alionyoa umechangia aonekane kijana. Lakini hata hivyo watu wengine wanasema kuwa wameshangaa kuwa nia yake ni ipi.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment