RIPOTI YA KUTEKWA KWA ROMA: Matukio na kauli zote mpaka Roma na wenzake wanachiwa (Video)

Baada ya usiku wa jana Roma Mkatoliki, Moni pamoja na wenzao wawili kuachiwa salama baada ya kutekwa na watu wasiojulikana alhamisi iliyopita wakiwa studio za Tongwe Record Masaki jijini Dar es salaam, Bongo5 imekukusanyia matukio yote pamoja na kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na viongozi pamoja na wadau mbalimbali katika harakati za kupatika kwa Roma na wenzake.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment