Tutarajie Video Mpya ya Collabo kati ya Joh Makini na Davido

Hatimaye Joh Makini na Davido wamefanikiwa kushoot video ya collabo yao.
Video hiyo imefanyika jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Kupitia Instagram ni Davido ndiye aliyetoa habari hizo njema kwa kuweka picha akiwa na Joh pamoja na warembo sita.

“Back to work !! On set ๐Ÿ“ฝ shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ x NAIJA ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ,” ameandika.
Wimbo huo una takriban mwaka na nusu tangu urekodiwe na ni video pekee iliyokuwa inasubiriwa ili uachiwe rasmi.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment