Uzinduzi wa albamu mpya ya Lady Jaydee, Woman

Malkia wa Bongo Flava, Lady Jaydee ambaye jina lake halisi ni Judith Wambura, Ijumaa hii amezindua albamu yake saba, iitwayo “Woman.” Uzinduzi huo, umefanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa. Tazama picha za uzinduzi huo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment