Alikiba ndani ya kipindi cha Up Sync Battle na vazi la Brenda Fassie,Wengi waponda kwanini kavaa vazi la kike ???Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Alikiba, alikuwa kwenye kipindi cha runinga cha MTVBaseAfrica UP SYNC BATTLE.


Alikiba akiwa stejini
Kipindi hicho huwachukua mastaa mbalimbali wa muziki na kuwavalisha uhusika wa mtu mwingine ambapo katika kipindi cha wiki hii Alikiba alivaa kama Brenda Fassie na kuimba wimbo wake wa ‘Vulindlela’.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment