CAITLYN JENNER: NILIFIKIRIA KUJIUA KUTOKANA NA KEJELI BAADA YA KUJIGEUZA KUWA MWANAMKE

Kwa Bruce Jenner, haikuwa safari yenye mteremko hadi kujigeuza na kuwa mwanamke ambaye kwa sasa anajulikana kama Caitlyn Jenner. Baba huyo wa warembo Kylie na Kendall Jenner na wa kambo kwa Kim Kardashian, amesema kejeli za watu na vyombo vya habari vilimfanya afikirie kujiua.

Katika interview ya kupromote kitabu chake kipya, The Secrets Of My Life, Caitlyn alizungumzia majaribu aliyopitia wakati wa hatua hiyo. Bibiye huyo amedai kuwa alighaili kufanya hivyo ili awe mfano kwa watu wengine wanaopitia hali hiyo.

“It’s the easy way out – sometimes you get to that point in life, you think about that. TMZ and the press were destroying me. I knew they were coming out with a story about a trachea shave. Isn’t that stupid, I need to be a voice, I don’t need to silence myself”. It wouldn’t do any good whatsoever,” alisema.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment