Godzilla akanusha kuwekwa kinyumba na Dee Andy

Rapa Godzilla amekanusha kuwekwa ndani kimapenzi na aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Fm, Dee Andy.
Wawili hao hapo awali walidaiwa kutoka kimapenzi.

Kupitia mtandao wa twitter Godzilla amebainisha suala hilo halipo kama lilivyoandikwa kwenye mtandao flani ya kijamii.
“Mwambieni yuke boya aliyeandika Jamii Forum nakaa ndani tu kisa Doreen this is my family๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ..now go play,” alitweet King Zilla.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment