Hiki ndicho alichoandika Jokate baada ya kutajwa na Forbes

Jokate Mwegelo ameonyeshwa kufurahishwa baada ya kuchaguliwa na jarida la Forbes Africa la kuwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio katika sekta mbalimbali kwa mwaka 2017.

Mrembo huyo ameonyesha furaha hiyo katika mtandao wa Instagram, wakati alipoweka picha ya cover la jarida hilo na kuandika, “Looks whose on the cover of Forbes Africa with some other amazing young Africans doing amazing things to create wealth and transform our economies? God is so amazing. ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ˜ฉ❤️๐Ÿคง.”

“Never underestimate your own strength. You were born for a purpose and are blessed with an ability to achieve it. Mpaka kieleweke ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ˜˜,” ameongeza katika picha nyingine aliyoiweka katika mtandao huo.

Naye Lavie Makeup ni mrembo mwingine kutoka Tanzania aliyetajwa na jarida hilo pamoja na Jokate.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment