KISOME ALICHOKIANDIKA DAVIDO KWENYE AKAUNTI YA INSTAGRAM YA WEMA SEPETU

Wimbo mpya wa Davido IF, umefanikiwa kuwashika warembo wengi barani Afrika. Mmoja wa mastaa waliodata na ngoma ya muimbaji huyo wa Nigeria ni Wema Sepetu. Sepetu alitumia Instagram kupost kipande cha wimbo huo kilichochanganywa na clip ya video anayoonekana akiwa kwenye photoshoot. Kwenye post hiyo aliandika mashairi ya wimbo
 huo.


Kwenye post nyingine ambayo Wema anarusha dongo kwa haters wake, Wema ameonesha kufurahia comment ya Davido na kusema anaupenda sana wimbo wake.

Behold Yours Truly… Now I have been goin through my Comments, Nat 1 by 1 but most of them… I got lots of lovers but as we all know There is no Love without a lil Hate Innit…??? Now Lets Cut the story short, We ALL know Most Haters Have So Much Envy… I mean Even I wud wish To Be Me… So its okay to Hate… Its Actually Allowed…. Oh thank You Guys for the Love…. Especially Mr. IF… It soo happens to Be my Jam at the moment…. so lets get the Love Goin and the Hate Keep On, Keep Keepin On… Goodnyt Now… ๐Ÿ˜˜
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment