Mpigapicha aeleza kuhusu picha za bila nguo alizompiga Ben Pol (video)Mpigapicha Clemence wa Tanzania amekaa kwenye EXCLUSIVE ya Ayo TV na millardayo.com na kueleza ni kwa nini na ilikuaje mpaka akampiga picha za bila nguo Mwimbaji wa R&B Tanzania Ben Pol na kuzipost kwenye Instagram yake…. hii video hapa chini ina kila alichosema.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment