Mtanzania apaa hadi nafasi ya Kwanza Istanbul MarathonTanzania inazidi kupiga hatua katika mbio za riadha kimataifa baada ya kushuhudia wanariadha wetu wakizidi kuitoa Tanzania kimasomaso.
Haya ni matokeo ya wanariadha wa Tanzania waliokuwa wakiliwakilisha Taifa yakitolewa na katibu wa RT Wilhelm Gidabuda;

“Tanzania yazidi kupiga hatua katika Riadha, ambapo Leo Sara Ramadhani amefuzu kushiriki mashindano ya 2017 London World Athletics Championships, kwa kukimbia masaa 2 dakika 33 sekunde 11 na kushika nafasi ya pili.
Kwa upande mwingine, Ismail Juma Gallet amekuwa wa kwanza katika Istanbul Half Marathon, kwa kutumia muda wa lisaa 1 na sekunde 9 (1:09).
*Nilijua tutapiga hatua mbele, lakini mafanikio haya yanakuja vyema kuliko hata mategemeo yetu, ni furaha sana kuona juhudi zinafanikiwa japo bado changamoto zingine zipo.”
– Wilhelm Gidabuday, Katibu RT.

BY HAMZA FUMO
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment