Rais Magufuli amtumbua IGP Mangu


Rais Magufuli amemtengua aliyekuwa Kamishna wa Polisi, Ernest Mangu na kumteua Kamishna wa polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania


Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi, Simon Sirro alipopandishwa cheo na kuwa Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment