Taarifa ya ufafanuzi wa mama kuibiwa mtoto pacha katika hospitali ya Temeke

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilipata taarifa toka Ofisi ya mkoa wa Dar es salaam na vyombo vya habari kuhusu malalamiko Bi Asma Juma kuibiwa mtioto wake Pacha alipojifungua katika hospitali ya Temeke mnamo tarehe 19/3/2017.
Soma taarifa ya ufafanuzi huo
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment