ZARI ATOA SABABU ZA KWANINI DAIMOND PLATNUMZ HAKUFIKA KATIKA MSIBA WA IVAN

Mzazi wa watoto watatu wa kiume kwa mume wa zamani Ivan Semwanga ambaye ni mpenzi na mzazi wa watoto wawili kwa Diamond Platnumz ‘Zarinah Hassan ‘Zari TheBossLady’ ametoa sababu za kwanini Diamond Platnumz kutohudhuria mazishi ya Ivan aliyefariki tarehe Mei 25 kisha mazishi kufanyika jumanne ya wiki hii nchini Uganda.


Akizungumza na Ayo Tv, Zari amesema kuwa kilichotokea ni maneno maneno ya kifamilia juu ya migogoro iliyokuwa ikiendelea kipindi hicho cha msiba hivyo alimtaka Diamond Platnumz na wote waliotaka kuandamana naye kutofika ili aweze kuweka mambo sawa.
“Diamond he was suppose to come and akina Sallam also we have been communicating left and right, they have been showing me their support…but you know with the ongoing family disputes as it was nikawaambia i understand you guys wanna show me support but let me undle this” Amesema Zari.
Hata hivyo Zari mbali na kuwa amebaki na majukumu ya kusimamia asilimia kubwa ya miradi iliyochwa na Ivan, amehaidi kutimiza majukumu yote ya watoto wote kwa nguvu zake zote kwakuwa tayari anatambu kuwa amebaki kama baba na mama pia.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment