ACT wazungumzia uteuzi wa Bi Anna Mghwira

Chama cha ACT Wazalendo kimepokea uteuzi wa Mama Anna Mghwira huku kikisema uteuzi huo umefanywa wakati Mama huyo akiwa nje ya nchi na baada ya kuingia nchini, kesho uongozi wa chama hicho utafanya mazungumzo juu ya namna mama huyo atakavyoteleza wajibu wake wa Uenyekiti wa chama na majukumu mapya
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment