Aliyeonekana akimshika Zari anena

Mwanaume ambaye aliyedaiwa kumshika mzazi mwenza wa msanii Diamond, Zari Hassani katika bwawa la kuogelea, Edwin Lutaaya amefunguka juu ya tuhuma hizo.

Edwin ambaye ni ndugu wa mume wa zamani wa Zari, amedai kuwa hakumshika Zari kama mitandao ilivyodai na ile picha ilipigwa na mkewe ambaye naye alikuwepo katika eneo hilo.

Edwin ambaye amefanya mahojiano kwa njia ya simu na Kakensa Media, amesema kuwa “This goes out to Diamond, I know you can’t hear much of Luganda… I never meant to offend you neither did I touch Zari’s bums, you misquoted the whole situation. That picture was taken with decency, we never even took any closure next to each other.

“Deep down in my heart I don’t have any intentions of hitting or proposing to my in-law (Zari), in our custom it doesn’t allow that. And I want to make it very clear this this moment… please I respect your family and I respect your relationship with Zari. I can never come in between us or anyone in our family, I will never come between you. ” alionge Edwin
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment