BEN POL ATEKWA NA GIGI MONEY MBELE YA HANSCANA

Msanii wa RnB kutoka Tanzania Benard Paul a.k.a Ben Pol ameachia rasmi video ya wimbo wake wa ‘Tatu’ uliomshirikisha rapa Darassa na kuoongozwa na Director Hanscana.

Ikiwa ni yenye maoni mzuri kwa asilimia kubwa kutoka kwa mashabiki waliobahatika kuitazama kupitia mtanadoo wa Youtube, Ben Pol amewasilisha wazo lake la kutekwa kimapenzi ambao imeonekana mrembo maarufu Gigy Money alihusika kumteka kimahaba kwa mujibu wa wazo la wimbo.
Hata hivyo Gigy ameimbia Dizzim Online kuwa kwa mwaka huu wa 2017 amejipanga zaidi kutokea kwenye video nyingi za muziki za mastaa wa ndani na nje ya Bongo.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment