BEYONCE & JAYZ WAKARIBISHA MAPACHA.

Nyota wa muziki wa Pop nchini Marekani Beyonce amejifungua mapacha kulingana na vyombo vya habari nchini Marekani. Vyombo vya habari vya Entertainment Weekely, Us Weekly na People Magazine vimethibitisha habari hizo lakini tarehe ya kuzaliwa na jinsia ya watoto haijajulikana.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment