BOT yautahadharisha umma na taasisi ya D9 Club

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yatahadharisha umma kuhusu upatu unaoendeshwa na taasisi ijulikanayo kama D9 Club inayotangaza kushawishi ununuzi wa hisa inafanya hivyo bila mamlaka husika.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment