Diamond kuliamsha dude Leo!

Ni kweli Diamond anataka kuachia ngoma mpya Jumatano hii? Kama haufahamu hilo basi kaa tayari kulipokea hilo.

Msanii huyo amekuwa akiteka vichwa vya habari kila anapokaribia kuachia ngoma zake mpya kutokana na style anazotumia. Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameahidi kuachia wimbo wake huo siku ya leo
.“@sallam_sk punguza Hasira ๐Ÿ˜ƒ… Xxl ya @Cloudfmtz na @Bdozen saba hadi Kumi Kamili Kesho…..☺,” ameandika Diamond katika mtandao huo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment