Diamond Platnumz afuta post yenye hasira kwa Zari, kaweka hii

Kingine kilichotembea kwenye mitandao ya kijamii leo ilikua ni ishu ya Diamond Platnumz kuonyesha kukasirishwa na kitendo cha mpenzi wake Zari kuonekana kama ameshikwa na Mwanaume ndani ya maji wakiwa kwenye spa.
Baadae Zari alijibu kwa kusema Mwanaume huyo ni Binamu wa Marehemu Ivan na kwamba aliyewapiga hiyo picha ni Mke wa huyuhuyu jamaa hivyo hakukua na chochote kibaya ambapo hata hivyo Zari na Diamond walizifuta post hizo.

Baada ya Diamond kufuta alipost tangazo la GSM Mall ‘Usije kusubiria eti zimebaki siku mbili ndio kuhangaika na nguo za mtoto za Sikukuu….kawai mapemaaaa 
A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on
baseline;">#BABYSHOP iliopo kwenye Mall the @gsmmall …. #BABYSHOP we Value your baby!!’
Kisha post inayofata Diamond alipost picha zake akiwa na Zari na mtoto wao huko South Africa huku picha hizo zikiwa na mziki wa taarabu kwa chini unaoimba ‘Wawili tumeamua mapenzi yetu safi, tugombane asubuhi jioni tunaongea…… halina shombo penzi hili popote tunatanua

Baadae Zari alijibu kwa kusema Mwanaume huyo ni Binamu wa Marehemu Ivan na kwamba aliyewapiga hiyo picha ni Mke wa huyuhuyu jamaa hivyo hakukua na chochote kibaya ambapo hata hivyo Zari na Diamond walizifuta post hizo. Baada ya Diamond kufuta alipost tangazo la GSM Mall ‘Usije kusubiria eti zimebaki siku mbili ndio kuhangaika na nguo za mtoto za Sikukuu….kawai mapemaaaa #BABYSHOP iliopo kwenye Mall the @gsmmall …. #BABYSHOP we Value your baby!!’ Kisha post inayofata Diamond alipost picha zake akiwa na Zari na mtoto wao huko South Africa huku picha hizo zikiwa na mziki wa taarabu kwa chini unaoimba ‘Wawili tumeamua mapenzi yetu safi, tugombane asubuhi jioni tunaongea…… halina shombo penzi hili popote tunatanua‘
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment