HARMONIZE ATHIBITISHA KUWA NI BABA KIJACHO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo ya muziki ya WCB na hitmaker wa ngoma ya ‘Niambie’ Harmonize baada ya kuthibitisha kuwa hayuko kimapenzi na Jackline Wolper kisha mapema leo kuweka picha ya mwanadada ambaye hakika imesemekana kuwa ndiye mmiliki wa moyo wake sasa amethibisha kuwa yeye na mpenzi wake wanategemea kupata mtoto miezi kadhaa ijayo.

Kupitia mtandao wa Instagram Harmonize amepost picha ya kuthibitisha hilo na hata kubainisha kuwa mpenzi wake ambaye ni mjamzito sio mwenye asili ya kiafrika.

A post shared by Harmonize (@harmonize_tz) on
A post shared by Harmonize (@harmonize_tz) on
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment