Hatimae ndoto ya Ebotoke kua na Ben Pol yatimia

Ebitoke wa Timamu tv hajawahi kuficha hisia zake kuhusu kumpenda mkali wa RnB Ben Pol,amekua akionyesha wazi wazi mapenzi alonayo kwa muimbaji huyu wa bongo flava.
Akiwa na ndoto kubwa sana ya Kuolewa nae 

Ben Pol na Ebitoke walipost picha ambazo zimetuachia maswali kibao,ikiwa ni wamefunga harusi au vipi.
Wakiwa wamevalia mavazi ya mahadhi ya ki Nigeria .
Ila ujumbe wa Ben Pol kwenda kwa Ebitoke uko very touching 

Hakuna kitu kizuri kama kujishusha na kukubali kujifunza pale unapoona kuna jambo zuri la Kujifunza. Ikiwa unampenda mtu Au unatamani nafasi fulani, utajuaje kama unaweza kuipata hiyo nafasi au la Ikiwa haujaiomba kwa Mhusika? Naamini watu wengi sana wameoa ama kuolewa na watu wasiowapenda kwa sababu tu walipoteza nafasi za kuwaambia hisia zao wale Wawapendao, Mwishowe walipokuwa tayari kuwaambia, ikawa Too late. Ikumbukwe humu duniani sisi sote TUNAPITA, na labda huyo Mtu kesho hatokuwepo. Ebitoke umenifundisha jambo KUBWA SANA maishani, najua wengi walikubeza sana , wengine walikuambia hautaweza hata kuonana na Mimi.. lakini huwezi amini Mimi nimefurahi mno!! kukutana na wewe na kuongea, na nimepata jambo kubwa sana. Na Nitayaishi Maneno yako πŸ™πŸ½πŸ˜. Nakushukuru sana, Mwenyezi Mungu akuzidishie. You are THE BEST πŸ’ͺ🏾!!@ebitoke #blessedπŸ™πŸ½
A post shared by BEN POL (@iambenpol) on
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment