HATIMAYE JUX AHITIMU CHUO CHINA, AWAZIBA MDOMO WALIOKUWA HAWAAMINI ANASOMA

Amepost picha kadhaa kwenye Instagram akiwa amevalia joho pamoja na wanafunzi wenzake waliohitimu. Baadhi ya watu wamekuwa wakidhani anadanganya kuwa anasoma China kwasababu hajawahi kuonesha picha akiwa kwenye mazingira ya chuo.

Picha hizo zimewaziba mdomo wote waliokuwa hawamuamini. Tunampongeza sana Jux kwa hatua hiyo.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment