Kamati ya pili ya mchanga wa madini kuwasilisha ripoti kwa Rais Magufuli Leo 12/6/207

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, atapokea taarifa ya kamati ya pili ya wachumi na wanasheria iliyofanya uchunguzi madini yaliyopo kwenye makontena yenye mchanga wa madini, yaliyopo kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.