Mahakama Kuu Uganda yaomba Kaburi la Ivan Don libomolewe

June 2, 2017 Mahakama Kuu Uganda imeomba Kaburi la Mfanyabiashara maarufu nchini humo Ivan Ssemwanga ‘Don’ libomolewe kisha zitolewe fedha zilizomwagwa na Kundi la Rich Gang wakati wa mazishi yake May 31, 2017.
Hatua hiyo inakuja baada ya Benki Kuu ya Uganda kutoa tamko kuvitaka Vyombo vya Dola kuwachukulia hatua waliotupa hela kwenye kaburi la Ivan Don ikiwa ni siku tatu baada ya mazishi ya Mfanyabiashara huyo maarufu.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment