Mapokezi ya Rayvanny ni kufuru

Baada ya kushinda tuzo ya BET 2017 katika kipengele cha International Viewers Choice siku ya Jumapili. Hivi ndivyo Rayvanny alivyopokelewa na mashabiki pamoja na wadau wa muziki wa Bongo Fleva katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment