MC PILIPILI ATAJA ALICHOLIPWA KWENYE HARUSI YA BILIONEA WA MAREKANI


Mchekeshaji na Mshereheshaji maarufu wa harusi, Emmanuel Mathias aka MC Pilipili, amedhihirisha usemi wake wake kuwa yeye ndiye ‘MC ghali zaidi’ hapa Tanzania baada ya kualikwa kwenye harusi ya bilionea wa Marekani.
Ameiambia Dizzim Online kuwa tajiri huyo alimfahamu kupitia video zake za Youtube na akataka awe MC wa harusi yake iliyofanyika mjini Houston, Texas.
“Kwa sasa mimi ndio the most expensive mc nafikiri kwa Afrika Mashariki kwa sasa,” amesema. “Kwa nje nachaji kwa dola na hata hapa Houston nimechaji kwa dollars ni dollars nyingi actually, ni nyingi, siwezi kutaja kiasi gani maana wasije wakaogopa, “ ameongeza.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment