NANCY SUMARI: WANAWAKE TUNA NAFASI KUBWA YA KULETA MABADILIKO

Miss Tanzania na Afrika 2015, Nancy Sumari, amesema wanawake wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko kama wakijitambua na kuamka.

Ameiambia Dizzim Online, “Mi nadhani ni muhimu sana kwa sisi kujijua na kuitambua thamani yetu na watu wengine wanaotuzunguka, Tujijue sisi ni watanzania na tujue kwamba thamani yetu ni kubwa sana kama watanzania. Pia kwa wanawake wenzangu ni jinsi gani tunaweza kuungana kwa pamoja kujithaminisha wote, aidha kupitia project kazi zetu njia ambazo sisi zitatuweka pamoja na kuleta mabadiliko katika nchi yetu.
Nancy ameongeza, ” Hata maandiko yanasema, mwanamke ni jeshi kubwa lazima tulitambue hilo na tulete mabadiliko makubwa nchini.”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment