Nimeguswa sana na kifo cha Ally Yanga – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli aomboleza kifo cha Ali Yanga aliyefariki katika ajali ya gari jana wilayani Mpwapwa, Dodoma.

Siku moja baada ya kupata taarifa za kifo cha shabiki mkubwa wa Yanga Ally Mohamed maarufu kama Ally Yanga, leo June 21 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa msiba huo.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment