NYUMBA WATAKAZO ISHI WALIO UNGULIWA NA NYUMBA LONDON HIZI HAPA.


Hii ndo inaitwa kufa kufaana!!!! Lakini matajiri wanao miliki baadhi ya nyumba kwenye jengo hili wanalalamika wakidai watu hao waliofikwa na janga la moto wakihamia hapo watashusha thamani za nyumba katika eneo hilo na wengine wakisema wamehenyeka sana kupata pesa za kuishi hapo sasa hivi wanaletewa hawa watu wasio na uwezo. 
Hili ndilo jumba lililoungua wiki iliyo pita na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 80 jijini London nchini Uingreza.

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment