Roma apata ulemavu wa kidole, kilivunjwa na waliomteka

Msanii wa muziki wa hip hop, Roma Mkatoliki amefunguka kuzungumzia hali yake ya afya ambapo amesema kidole chake kimoja ambacho kilikuwa kina kazi maalum kwenye muziki wake hakijakaa sawa, ni kile kilichovunjwa na watekaji. Rapa huyo na wenzake watatu walitekwa na watu wasiojulikana miezi miwili iliyopita wakiwa studio ya Tongwe Record iliyopo Masaki jijini Dar es salaam.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment