ZURII HOUSE OF BEAUTY SALE STARTS TOMORROW

TANGAZO MUHIMU‼️SALE‼️ SALE‼️SALE‼️SALE‼️
NI KUANZIA JUMAMOSI HII 17 JUNE 2017 - 27 JUNE 2017 unaanzaje kukosa. 
Kutakuwa na punguzo la hadi asilimia 50 ndani ya:

@zuriihouseofbeauty wauzaji wa vipodozi na urembo wa kila aina original 
@aminadesign wauzaji wa nguo za jioni, casual smart na maabaya. @vickylingerie wauzaji wa nguo za ndani kama vile chupi na brazia. @glowbysk wauzaji wa hand made accessories za pearl, silver na madini mengine.

Unaanzaje kukuosa offer hii??? Karibuni sana
Ni ndani ya @darfreemarkettz Oyster Bay, Ally Hassan Mwinyi Road karibu na Leaders, DSTV, ubalozi wa Kenya na France. Jengo lina samaki mkubwa kwa nje ukipita barabarani utaliona.
Karibuni sana.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment