Baada ya taarifa za uzushi wa kifo cha King Majuto, Mboto kayaandika haya

Kulikuwa na taarifa ambazo zilikuwa zinasambaa kuwa muigizaji mkongwe wa Filamu na vichekesho Tanzania Amri Athuman maarufu kama King Majuto amefariki baada ya kuumwa taarifa hizo zimeelezwa kuwa sio za kweli.
Mchekeshaji maarufu Mboto Haji ambaye amefanya kazi kadhaa na Mzee Majuto ni miongoni mwa mastaa wa mwanzo kupata taarifa hizo na kulazimika kusafiri hadi Tanga nyumbani kwa mzee huyo ili kupata undani wa hali yake.

Kupitia kwenye Instagram yake jana July 23, 2017 Mboto amebainisha kwamba taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa King Majuto kafariki ni uzushi baada ya kufika nyumbani kwake na kumkuta angali hai.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.