Babuu wa Kitaa Afunga ndoa

Msanii wa Bongo Flava na Mtangazaji wa Clouds Tv, Babuu wa kitaa ameingia rasmi kwenye orodha ya wasanii/watu maarufu waliofunga ndoa mwaka huu.

Shughuli hiyo iliyofanyika siku ya jana ilihudhuriwa na watu wake wa karibu wakiwemo watangazaji wenzake wa kituo hicho. Kwa mwaka huu pekee tumeshudia ndoa ya Madam Frora, Mx Carter, Producer Dx na Professor Jay.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment