Diamond Platnumz na mama yake Sandra jana waliwasili Uganda kwenda kuhudhuria msiba wa mama yake Zari, Halima Hassan aliyefariki asubuhi siku ya Alhamis. Akiwa amevalia nguo nyeusi, Diamond aliongozana pia na meneja wake Babutale na bodyguard wake. Ni hivi karibuni tu Zari alifiwa na ex wake, Ivan Semwanga.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment