Harusi ya Mbunge wa Mikumi Professor Jay na Grace

Rapper na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ July 8, 2017 walifunga ndoa na mpenzi wake Grace DSM ambapo watu mbalimbali wakiwemo Wabunge walialikwa na baada ya ndoa walikaa kwa ajili ya picha za kumbukumbu.
Hapa nimekuwekea picha 32 kutoka kwenye ukumbi ilipofanyika Harusi hiyo!Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment