HONGERA LINAH SANGA KWA KUPATA MTOTO WA KIKE

Linah Sanga amekuwa mama. Muimbaji huyo amejifungua mtoto wa kike Jumanne hii katika hospitali ya Marie Stopes, jijini Dar es Salaam. Jina la mtoto bado halijafamika.
Tunampongeza sana Linah kwa kujaliwa kupata mtoto wake wa kwanza.


A post shared by Linah Sanga (@officiallinah) on
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment