Jerry Muro amaliza kutumikia adhabu yake

Jerry Muro amaliza kutumikia adhabu yake ,Jerry alifungiwa mwaka jana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TTF) kwa mwaka mzima kutojihusisha na shughuli zozote za kimichezo kutoka na utovu wa nidhamu. Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram hiyo jana usiku 


Jerry aliandika haya machache.
Natabasamu kwa kuwa Leo 02/07/2017, nimemaliza kutumikia Adhabu “DHALIMU” Kikombe nilichonywea mimi na wao wamekipokea wanaanza kunywea humo, Maisha ni kama Gwaride Kiongozi akisema Nyumaa Geuka wa mbele anakuwa wa MWISHO na wa mwisho anakuwa wa KWANZA, Vumilia ndugu YANGU @hajismanara nakuaubiria “USWAHILINI” Kaeni tayari kwa ujio Mpya @yangasc@simbasc @azamfc
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment