Kumbe Alomuita Bff ndo Mpenzi mpya wa Wolper

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jackline Wolper amaamua kufanya kweli kwa kudhihirisha kupata mrithi wa Harmonize wa WCB.

Wolper na Brown wakiwa kitandani
Wolper ameamua kumuweka hadharani Bff wake anayedaiwa kuwa mpenzi wake mpya aitwaye Brown, katika mtandao wa Instagram mrembo huyo ameweka video wakiwa 0-distance
But why Bff punguza kidogo๐Ÿ‘Œ #out #happy #no commen,” ameandika Wolper. Mwamaume huyo siku chache zilizopita alipost picha akiwa na mrembo huyo kitandani.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment