Kumbe Ben Pol Alivuta Mkwanja alilipwa kufanya kiki na Ebitoke, hakuna mapenzi – Mkali Wenu

Mmoja kati ya wasanii ambao walikuwa waunda kundi la TIMAMU TV, Mkali Wenu ambaye kwa sasa hafanyi tena kazi na kundi hilo, amedai bosi wao alimlipa muimbaji Ben Pol ili watengeneza kiki ya mapenzi.story bongo5
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment