Madam Flora na Emmanuel Mbasha walivyogonganisha

Moja ya story ambayo ilikuwa inasambaa na kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu mwimbaji wa Injili Madam Flora kukanusha kauli iliyodaiwa imetoka kwake kuwa Hakuna haja ya kuwa na Mwanaume asiyekuridhirisha kinyumba.”

Jana  July 19, 2017 kwenye Uheard ya XXL ya Clouds FM Gossip Cop Soudy Brown amepiga stori na Madam Flora na aliyewahi kuwa mumewe Emmanuel Mbasha katika line moja ya simu huku akitaka kusikia kutoka pande zote mbili kuhusu hilo na kama Mbasha ameshakisoma kitabu hicho.
>>>”Sijui kama anatoka mapovu au hatokwi na mapovu mi I don’t care. Maisha yangu nina amani hicho ndicho ninajaji. Yeye anajua hamna cha mtoto, niseme kwamba kwenye suala la mtoto hatujawahi kuwasiliana toka niondoke kwake hajawai kunipigia simu wala kunitumia sms sasa kama anataka kuwasiliana na mtoto anawasilianae vipi?” – Madam Flora.


“Mimi sina sababu ya kukitafuta kitabu, nikitafute cha nini? Kwenye suala la mtoto sijamuona mpaka leo ni yeye mwenye maamuzi yake. Yeye mwenyewe maamuzi yake alivyoamua ndiyo hivyo kwamba nisimuone na hahitaji nimuone, basi ndio hivyo.” – Emmanuel Mbasha.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment