Mnaopiga Picha za nusu uchi mkiwa wajawazito Mnakera Wema Sepetu,Kawachana Live

Mrembo kutoka tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu ameonekana kukerwa na kitendo cha baadhi ya wanawake kupenda kupiga picha za utupu kuonyesha matumbo yao wakati wa ujauzito.

Utakumbuka miezi miwili iliyopita muimbaji wa Bongo Flava, Linah aliteka vichwa vya habari kwa kuachia picha za nusu utupu za ujauzito wake, pia baby mama wa Diamond Platnumz, Zari aliwahi kufanya hivyo kipindi cha ujauzito wa mwanae Tiffah. Hiyo ni kwa upande wa watu maarufu.
Sasa Wema Sepetu katika ukurasa wake wa Instagram ameandika, “Mashallah Esha wangu… Staha hadi Raha…. Sijawahi Elewa Wanawake wakishaenda kwenye Maternity shoots kwanini wanataka sana wakae uchi…. This Is Very Beautiful my Darling…. Allah Bariq Tumbo lako ujifungue salama my love… Unajua navyokupenda…. Hii iende kwa wanaokaaga Uchi wakiwa wanapiga picha za Mimba Jamani… ๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹ @esha.s.buheti @esha.s.buheti

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment